Sports & Culture

Kutana na Chaap: “Tiger Woods” wa Zanzibar

Issa Mohamed 'Chaap'

Kitu gani kilichomfanya Issa Mohammed Faki Mjaka akurubiane au awe na mawasiliano ya karibu na Wakoloni wa Kiingereza kama vile waliokuwa British Resident Sir George Mooring, Kamishna wa Polisi Biles, Kamishna wa Magereza Francis, Jaji Mkuu Horstfall, Jaji Mwandamizi Dulton, na Kamishna Mkuu wa Idara ya Upelelezi Speight katika serikali ya Kikoloni kabla ya Uhuru wa Zanzibar mnamo mwaka 1963 na Mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964? Endelea kusoma


Advertisements

One response

26 02 2010
Muhammad Yussuf

Wapendwa Wazanzibari

ZIPRR inakaribisha maoni yenu juu ya kuanzishwa kwa ukurasa huu wa “Sports and Culture”. Pia tutafurahi kupata makala yenu kuhusu masuala mbali mbali yanayohusiana na michezo na utamadani wa Mzanzibari; kama vile mashairi, tenzi na mambo mengine yote yanayohusiana na hayo. Historia ya waimbaji wetu wa zamani na wa leo pamoja na wanamichezo wetu wote waliobobea katika kila fani ya michezo nayo pia itakaribishwa sana.

Ahsanteni sana.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s
%d bloggers like this: